Mchungaji Kiongozi: Daniel John Seni
"...napenda kuwaona watu wote wa Madale wanaingia ndani ya kanisa hili, unajua kwa nini? kwa sababu Mungu anawapenda lakini pia mimi nawapenda sana! kama wewe ni mmojawapo wa watu walio karibu na eneo la Madale-Kisauke, na maeneo mengine jirani na hata ya mbali wale wanaounga mkono huduma ya Mungu. Napenda kuona watu wa Mungu wakiwa na nyuso za furaha huku wakimwabudu Mungu na kumsifu.

  • Pure Word, Real Gospel and Genuine Freedom

    our Vision is to freed people from the captivity of demonic bondage by the pure word and gospel, as a result to build a Christian community where people are free and becoming deeply devoted to Christ.

  • Evangelist, Shadrack Zakayo Misungwi

    "Ninakukaribisha katika ibada zetu, karibu tuabudu pamoja, tumfurahie Mungu wetu pamoja na tumwimue pamoja"

  • Evangelist, Marko Shija (Shekinah B)

    ...Mungu anataka kuponya roho yako ambayo imeumizwa na matukio mengi ya hapa duniani...nakukaribisha katika kanisa la Shekinah B, Mungu akubariki sana.

Timu ya uinjilist kanisani