Karibu Shekinah Presbyterian-Dsm

MAHALI KANISA LILIPO: Madale Mwisho tunatazamana na shule ya Atlas Madale Campus! Tunakukaribisha katika kumwabudu na kumtukuza Mungu.
RATIBA YA IBADA ZETU
JUMAPILI: Saa 2-3:30 ni mafundisho, saa 4:00-6:00mch. Ibada kuu
JUMATANO: Saa 10 jioni ni ibada ya maombi kwa watu wote
IJUMAA: Saa 10 Jioni ni ibada ya akina mama
JUMAMOSI: saa 10 jioni ni kwaya na mafundisho kwa wakristo wapya.
Mawasiliano: spctanzania@gmail.com au 0767624995, 0753995923,0787907347

Jul. 31, 2017

Nixon

Hello natufuta kanisa la presbyteria lilo karibu na mimi.kwa bahati mbaya nimeweka ujumbe sehemu ya comments.Naomba muufute kule.Na mnisaidie kwa maelezo zaidi