Tufike kwa anuani hapa chini. Kama uko mjini unaweza kupanda basi mpaka Tegeta Kibaoni, kisha panda mabasi ya kwenda Madale mwisho. ukifika madale, unaweza kuuliza kanisa la Shekinah

Address:

Shekinah Presbyterian Church
32807 Dar es salaam
Madale
Tanzania

Unaweza kufika kanisani. Tunatoa huduma kwa saa 24

Mungu ametuita kumtumikia yeye na kuwalisha kondoo zake. kama wewe unajisikia ni mpweke, changamka sasa, liko tumaini kwa Bwana