Shekinah Igunga branch project

Tawi hili la Igunga litafunguliwa hivi karibuni kwa ajili ya kuanza huduma kamili ya kanisa pamoja na kuwahudumia watu wa Mungu kimwili na kiroho. Tunatarajia watu wa Igunga wataipokea huduma hii kwa furaha chini ya mtumishi wa Mungu Emanuel Kisaba.