Mahafali ya Kulangwa Nursing School: Hii ni mahafali ya wanafunzi wa KULANGWA NURSING SCHOOL ambao walikuwa wakishiriki ibada za shekinah wakati wa masomo yao. vijana hawa wamekuwa baraka katika kanisa hili. Na matukio haya yanaonesha wanapokea vyeti na zawadi.