Picha na matukio mbalimbali. Shekinah B kwa Mleseni Marko Shija

Mkutano wa Uzinduzi wa kanisa 14/01/2016

Eneo la kiwanja cha Kanisa

Mwonekano wa kiwanja

Shughuli ya uwekaji wa nguzo za jengo la kanisa ulianza (Mtumishi Marko Shija akiwa kazini)

Shughuli ya uwekaji nguzo ikiendelea-Mch. Daniel Seni akiunga mkono kazi ya ujenzi

Ushushaji kokoto za kuwekea nguzo kanisani

Ushushaji kokoto ukiendelea

watumishi wakishiriki chakula baada ya kazi ngumu ya kushusha kokoto na kuweka nguzo

Baadaye kazi ya kupaua ilianza haraka!

Uletaji bati ulifuatia mara baada ya kumaliza kuweka kenchi.

Hapa jengo tayari limekwisha kupauliwa lakini bado hatujaziba kwa pembeni

Ibada ya kusifu na kuabudu kwa mara ya kwanza kutoka umoja wa makanisa UPU ilifanyika hapa mara baada ya kukamilisha upauaji wa jengo

Mojawapo ya ibada za Shekinah B. Huu ndio mwanzo wa huduma. Mtumishi wa Mungu anapiga kazi ya kitume siyo mchezo

Ni maamzi ya busara kuziba sehemu ya pembeni kwa kutumia tofauli ili kuzuai maji ya mvua yasiingie ndani na kusumbua waabuduo

Mtumishi Marko Shija

Hapa ilikuwa ni siku ya kwanza kwa ajili ya kufanya mkutano wa ufunguzi wa kanisa. Haya ni maandalizi; watumishi wakisafisha kiwanja tayari kwa ajili ya ibada

Timu nzima ya watumishi wa Shekinah Kutoka kulia 1. Mch. Daniel Seni, 2) Mwinj. Marko, 3) Mwinj. Buyeye, 4) Mwinj. Eliya, 5) Mwinj. Shadr